Uko wapi ndio wimbo ambao Msanii Jaslu na mwanadada crismatic wameuachilia hapo jana huku audio yake ikiwa nje tangu mwezi jana.
Wawili hawa wanasema wasema collabo yao imewapa watu kuwachukulia ni wapenzi japo hawakuwa wazi kwenye swala hilo. Itazame video yenyewe iliyotayarishwa na Bonaya Bisani na producer Raah Touch akishuhulikia audio chini ya Pillarworks studios.