Connect with us

Tech

Bajaj Qute – Tuktuk ya tairi nne?

Published

on

bajaj qute pilkapilka

Kampuni inayounda pikipiki ya Bajaj hivi majuzi imezidua muundo mpya wa tuktuk ujulikanavyo kama Bajaj qute quadricycle yenye uwezo wa kutumia petroli na CNG (Compressed Natural Gas).

bajaj qute pilkapilka banner_02

Bajaj auto sasa imethibitisha kuwa toleo la petroli lipo katika hatua za mwisho za kuunda. Nyakati hizi cng sasa imegeuka kuwa mafuta mbadala katika miji kubwa nchini india, huku petroli ikitumika katika miji midogo nchini India.

Qute iko na engine ya 216 cc, single-silinda, nne-stroke injini, yenye gear tano. Kampuni ya Bajaji inadai Qute itatumia lita moja ya mafuta ya petroli kwa kila kilomita 35.

bajaj qute pilkapilka Dimensions_img

bajaj qute pilkapilka 04 interior

Continue Reading
%d bloggers like this: