Kama uko na dhana ya kwamba bifu na diss track ni vitu ambavyo vimepitwa na wakati, basi mji wa watamu unagonga vichwa vya habari kwa kufufua...
Imekuwa bayana kuwa msanii Nelly Boy kutoka Malindi atakuwa akiachilia kibao kipya wiki hii kijulikanavyo kama “Samahani”. Imekuwa muda na mashabiki wake wamekuwa wakisubiri kwa hamu...
Msanii wa hiphop anayejitambulisha kama “King of Kamkuja”, C.E.O. wa Inspyce Record, Mbekas ameangusha kichupa cha Zugadebe. Kulingana na mtandao wa Youtube, hii video ni intro...