Mhariri wa habari wa kituo cha Redio cha Lulu FM Sam Amani amewaaga wafanyakazi wenzake rasmi leo Jumatatu Mei 27 ikiwa ni moja wapo ya ndoto...
Kama uko na dhana ya kwamba bifu na diss track ni vitu ambavyo vimepitwa na wakati, basi mji wa watamu unagonga vichwa vya habari kwa kufufua...
Imekuwa bayana kuwa msanii Nelly Boy kutoka Malindi atakuwa akiachilia kibao kipya wiki hii kijulikanavyo kama “Samahani”. Imekuwa muda na mashabiki wake wamekuwa wakisubiri kwa hamu...
Uko wapi ndio wimbo ambao Msanii Jaslu na mwanadada crismatic wameuachilia hapo jana huku audio yake ikiwa nje tangu mwezi jana. Wawili hawa wanasema wasema collabo...
After a month long of hype and preparation, Malindians finally witnessed the 1st ever Business & Art Exhibition to be held in the county. The exhibition...