Connect with us

Sports

Harry ndio usajili Kamili kwa Manchester United akiri Gary Neville

Published

on

harry kane

Gary Neville asema mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane atakuwa usajili ‘kamili’ kwa Manchester United. Kane alikiri mwezi uliopita kwamba anaweza kuondoka ikiwa Spurs haitaendelea kwa sababu anataka kushinda mataji ‘mapema kuliko baadaye’. Harry Kane,staa wenye umri wa miaka 26, amejiimarisha kama mmoja wa wachezaji bora zaidi katika kandanda ya dunia katika misimu sita iliyopita, akifunga mabao 181 katika mechi 278 kwa spurs. Manchester United wameonyesha nia ya kusaini staa huyo wa Uingereza msimu huu wa Summer na Neville anasema Kane atakuwa usajili kamili ‘ kwa klabu yake ya zamani.

Je unafikiria nini kuhusu usemi huu wa beki wa zamani wa Manchester United?

See also  Kenyans Disappointed after Harambee Stars Loss

Continue Reading
Comments
%d bloggers like this: