Connect with us

Entertainment

Zugadebe ”Intro” – Mbekas

Published

on

mbekas -zugadebe

Msanii wa hiphop anayejitambulisha kama “King of Kamkuja”, C.E.O. wa Inspyce Record, Mbekas ameangusha kichupa cha Zugadebe. Kulingana na mtandao wa Youtube, hii video ni intro ya hiyo ngoma, kwa hivyo inatamaa kuwa kuna video inayokuja na itaendeleza kazi hii. Baada ya kufuatilia, inasemekana Zuga debe inamaanisha cheza ngoma ,furahia, jiachie na mziki.

Cheki ngoma kisha usikose kucomment hapo chini!

Je unahisi huu wimbo una ukali wa Kiasi gani?
Sending
User Review
( votes)
See also  Nothing like skin colour change: It was a gambado, Sidika proves
Continue Reading
Comments
%d bloggers like this: