Connect with us

Events

Harakati za kuikomboa na Kusafisha mji wa Malindi yapamba moto

Avatar

Published

on

pilkapilka za kusafisha mazingira 2214_l

Kwa pindi cha mwezi mmoja hivi, jamii wa watu wanaoishi, wakereketwa na maslahi ya mazingira na washika dau waliungana mikono na kuzunguka sehemu fulani katika mji na kuhakikisha usafi wa sehemu hizo umedumisha. Tarehe 13 Aprili ndio ilikuwa siku ambayo msafara wa kuhakikisha Malindi imerudi katika hadhi yake ulipoanza; ulianza kwa kusafisha kando ya barabara kuanzia maeneo ya uwanja wa ndege hadi Cleopatra huku kundi lingine likianza kutoka Makavazi ya Kanisa la Wareno mpaka mzunguko wa Umoja Taxi.

Juhudi hizi zimetiliwa nguvu na kuwepo na washika dau tofautitofauti ikiwemo ofisi ya Halmashauri ya mji wa Malindi, wanabiashara tajika, makundi ya kina mama, vijana na wazee na hata watu binafsi.

READ  Msanii kutoka Watamu Lil Mizze afunguka Kuhusu Bifu yake na T buoy

malindi town clean-up invites at 10.52.44

Harakati hizi zitaendelea Jumamosi tarehe 11 Mei 2018, ikiwa watu wote wanakutana nje ya makavazi ya kanisa la Kireno saa mbili Asubuhi. Dhima ya harakati ya mwezi huu, ikiwa inaambatana na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, itakuwa muungano wa Kidini katika kusafisha mazingira ya mji wa malindi.

Maneno hayaishi kusema ila msema kweli ni mapicha ya hali halisi katika shughuli hiyo mwezi uliyopita huku watu wakiendelea kupangia ya mwezi huu!

GALLERY

pilkapilka za kusafisha mazingira 2214_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2216_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2217_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2220_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2221_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2222_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2223_l

pilkapilka za kusafisha mazingira | Pictures Courtesy of malindikenya.net

pilkapilka za kusafisha mazingira 2225_l

READ  Press Release: Invitation to Private Viewing of The Vee Fashion Show

Continue Reading
Comments
%d bloggers like this: